Saturday, January 24, 2015

"Asamoah Gyan hakuwa fiti, hakufanya mazoezi kama alivyostahili lakini unajua, yeye ni Asamoah Gyan. Kama unaangalia takwimu, kama unaangalia tabia yake kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, utajua kuwa ni mchezaji mkubwa. Ni miongoni mwa wachezaji wakubwa zaidi".
"Hakuna wasiwasi juu ya hili. Kwanza mara zote anafunga unapomhitaji na pili ni mzuri kwa kujenga morali ya timu. Ni nahodha mzuri. Hebu fikiria kama angekuwepo kwenye mechi ya kwanza, unadhani nini kingetokea". Amesema kocha mkuu wa Ghana, Avram Grant baada ya jana nyota huyo kuifungia  bao moja Ghana ikishinda 1-0 dhidi ya Algeria  katika mechi ya pili ya kundi C.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video