Monday, January 5, 2015

THEO Walcott  alifurahia kurudi uwanjani katika ushindi wa  2-0 iliopata Arsenal kwenye mechi ya raundi ya tatu ya FA jana jumapili  na ameeleza furaha yake kucheza na mchezaji maalum, Alexis Sanchez.

Walcott alicheza dakika 76 dhidi ya Hull City uwanja wa Emirates na amefurahia kucheza mechi ya kwanza baada ya mwaka kupita tangu alipopata majeraha ya goti na alikosa fainali za kombe la dunia mwaka jana.


“Alexis Sanchez ni mchezaji maalumu na imekuwa furaha kucheza naye uwanjani. Naangalia mbele kufanya makubwa zaidi”, Alisema Walcott.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video