Saturday, January 3, 2015

LIGI kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa mechi kadhaa kupigwa viwanja mbalimbali nchini.

Huko CCM Mkwakwani Tanga, JKT Ruvu wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Coastal Union ya Tanga.

Bao pekee la JKT Ruvu lilifungwa na Samuel Kamuntu katika dakika ya 38.

Maafande wa Polisi Morogoro wakiwa uwanja wa nyumbani wa Jamhuri Morogoro wametoka suluhu pacha ya bila kufungana dhidi ya Stand  United ya Shinyanga.


Ruvu Shootings ikuwa nyumbani Matabatini, Mlandizi, Pwani imelazimishwa suluhu ya bila kufungana na Kagera Sugar ya Mkoani Kagera.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video