KATIKA pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na picha za utani alizoposti mdau Pendo A Sanga katika kundi maarufu la MBEYA CITY FC kwenye mtandao wa kijamii wa facebook, hakika zimenivutia japokuwa zina utani wa ngumi.
Pichs hizo zinawatania mashabiki wa Simba baada ya kupata kipigo cha mabao 2-1 jana uwanja wa Taifa kutoka kwa Wagonga Nyundo wa Mbeya, Mbeya City fc.
Hakika huu ni utani wa ngumi....lakini ndio raha ya soka.
Hebu cheki mzigo.
0 comments:
Post a Comment