Tuesday, January 20, 2015


Brendan Rodgers (right) embraces Jose Mourinho before last season's Premier League clash at Anfield.
Brendan Rodgers (kulia) akimkumbatia Jose Mourinho kabla ya mechi ya ligi kuu England msimu uliopita

Brendan Rodgers amekiri kuwepo kwa upinzani mkubwa baina ya Liverpool na Chelsea na hii inamaanisha yeye na Jose Mourinho hawawezi kuwa marafiki tena.
Timu hizi zinakutana Anfield leo usiku katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la Capital One kuitafuta nafasi ya kucheza fainali Wembley.
Hata hivyo Meneja wa Chelsea, Mourinho amejitahidi kurudisha amani kwa kuwaambia mashabiki wa klabu hiyo ya London waache kuimba nyimbo za kumbeza Steven Gerrard.
Rodgers has admitted that he can no longer be close friends with Mourinho due to the clubs' rivalry
Rodgers amekiri kuwa sio rafiki tena wa karibu wa Mourinho kutokana na upinzani wa klabu zao
Philippe Coutinho (left) and Raheem Sterling (right) enjoy a joke during Liverpool training last week
Philippe Coutinho (kushoto) na Raheem Sterling (kulia) wakitaniana kwenye mazoezi ya wiki iliyopita

Mourinho alimsaidia Rodgers kukuza uwezo wake wa ukocha kufuatia kumpa kazi katika klabu ya Chelsea mwaka 2004 na alimshauri kuchukua kazi Anfield wakati alipowindwa na Fenway Sports Group mwaka 2012.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video