Friday, January 9, 2015

3Mchezaji wa Africa Lyon, Rajab Khamis aliumia mkono kufuatia kupigwa na mashabiki wa Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliopigwa juzi na kumalizika kwa suluhu.
1Raizan Hafidh aliumia nyama za paja baada ya kukatwa mtama ba kukanyagwa katika paja na mashabiki wa Lipuli
2Kasim Simbaulanga naye aliumia mkono kutokana na fujo hizo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video