Monday, January 5, 2015

5
NYOTA aliyekulia Atletico Madrid na sasa amerejea tena Fernando Torres leo jumatano anaweza kucheza mechi yake ya kwanza dhidi ya mahasimu wa jadi Real Madrid, mechi ya hatua ya 16 ya Kombe la Mfalme.

Katika mazoezi ya jana, kocha mkuu wa Atletico Diego Simeone alisema Torres alionekana kushika mbinu kwa haraka.


Nahodha huyo wa zamani wa Real Madrid ambaye alicheza mehi 244 klabuni hapo akiwa na miaka 17 alisaini mkataba wa miezi 18 kwa mkopo kutoka AC Milan na utaanza kutumika mara baada ya dirisha la usajili ulaya kufunguliwa jumatatu ijayo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video