Friday, January 16, 2015

Fernando Torres celebrates opening the scoring for Atletico Madrid after just 49 seconds at the Bernabeu
MSHAMBULIAJI aliyeonekana amefulia ulaya, Fernando Torres ameipiga Real Madrid mabao mawili peke yake katika sare ya 2-2 uwanja wa Santiago Bernabeu, mechi ya kombe la mfalme.
Alifunga goli ambalo hakuwahi kufunga Bernabeu baada ya kugusa mpira wake wa kwanza na baadaye alifunga goli la pili na kuwatoa Real Madrid katika michuano ya  Copa del Rey.
Cristiano Ronaldo aliyeshinda tuzo ya Ballon d'Or alifunga goli moja, wakati Ramos naye alifunga, lakini hawakuweza kuinusuru Real Madrid.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video