Alksandar
Dragovic
Klabu ya Manchester United ipo katika harakati za mwisho
kumsajili beki klabu ya Dinamo Kiev na timu ya taifa ya Austria Alksandar
Dragovic kwa ada ya kitita cha uro 15millioni baada ya kumkosa Gabriel Paulista aliyejiunga na washika mitutu wa London
Arsenal.
Yevhen Konoplyanka
Nayo klabu ya Everton ipo katika mazungumzo ya kumsajili
winga wa klabu ya Dnipro na timu ya taifa ya Ukraine Yevhen Konoplyanka, huku
klabu hiyo ikiwa na hofu ya kumkosa Kevin Mirallas katika dirisha dogo la
usajili mwezi January.
0 comments:
Post a Comment