Thursday, January 29, 2015




Mats Hummels

Klabu ya Manchester United imemuibukia upya beki wa klabu ya Borrusia Dortmund Mats Hummels kwa kumtengea kiasi cha kitita pauni 50m.


Klabu hiyo inaamini kuwa kiasi hicho cha fedha kitamshawishi kocha wa Borrusia Dortmund Jurgen Klopp kumwachia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kujiunga na mashetani wekundu katika dimba la old Trafford.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video