Juan Cuadrado
Klabu ya Chelsea imekubali kutoa kiasi cha pauni milioni 35
kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa klabu ya Fiorentina na timu ya
taifa ya Colombia Juan Cuadrado.
Kiasi hicho ndicho walichokiitaji Fiorentina
na inasemekana na vyombo mbalimbali barani ulaya Chelsea imekubali kutoa fedha hizo na kufikia mwafaka kwa upande
wa maslahi binafsi na mchezaji huyo.
0 comments:
Post a Comment