FRANK Lampard anarudi tena Stamford Bridge wakati timu yake ya Manchester City itakapochuana na Chelsea kesho jumamosi katika mechi ya ligi kuu England.
Mwezi septemba mwaka jana Lampard aliifungia Man City goli la kusawazisha katika sare ya 1-1 na kuinyima klabu yake ya zamani pointi tatu, lakini aligoma kushangilia kabisa.
Baba yake mzazi , Lampard Snr ameweka wazi kuwa mwanae atafanya hivyo tena kama atafunga kesho kwasababu bado wana tiketi za Stamford Bridge.
HIZI NDIO TAKWIMU ZA LAMPARD JR ALIPOKUWA CHELSEA NA SASA MAN CITY
0 comments:
Post a Comment