wachezaji wa Simba wakishangilia bao
Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi leo hii dhidi ya maafande wa jkt ruvu baada ya kuivurumisha magoli mawili kwa moja katika dimba la uwanja wa taifa jijini dar es salaam,
Danny Sserunkuma
Shukrani za pekee zimwendee mshambuliaji wa klabu hiyo Raia wa Nchini Uganda Danny Sserunkuma alipachika wavuni magoli yote mawili huku goli la kufutia machozi kwa upande wa klabu ya Jkt Ruvu likifungwa na mchezaji George Ninja.
0 comments:
Post a Comment