BAADA ya kushuhudia timu za taifa za Guinea ya
Ikweta, Congo Brazaville, Tunisia na Congo DR zikifuzu robo fainali ya kombe la
mataifa ya Afrika, Afcon 2015 zinazoendelea nchini Guinea ya Ikweta, leo usiku
tunatarajia timu zingine mbili kutoka kundi C zikifuzu hatua hiyo.
Mechi mbili za mwisho za kundi hilo linaloaminika kuwa
la kifo linazikutanisha timu za Senegal dhidi ya Algeria, wakati Afrika kusini
ambao ni wenyeji watachuana na Bafana Bafana.
Mechi zote zitaanza majira ya saa 3:00 usiku.
MSIMAMO WA KUNDI C
Group C
- Pos
- Team
- P
- W
- L
- D
- GF
- GA
- Pts
0 comments:
Post a Comment