ROBO fainali ya kombe la Mataifa ya Africa, Afcon 2015 inaendelea kesho nchini Guinea ya Ikweta.
Mechi ya kwanza ya robo fainali itapigwa kesho januari 31 majira ya saa 1:00 usiku baina ya Congo na Congo DR.
Baadaye majira ya 4:30 usiku Tunisia watashuka dimbani kukabiliana na wenyeji Guinea ya Ikweta.
Januari 1, mwaka huu tutashuhudia robo fainali mbili za mwisho.
Mapema saa 1:00 usiku, Ghana watashuka dimbani kuoneshana kazi na Guinea na baadaye saa 4:30 usiku, Ivory Coast watachimbuana na Algeria.
0 comments:
Post a Comment