Sunday, January 4, 2015

MPANGO wa Lukas Podolski kuhamia Inter Milan kwa asilimia kubwa umekamilika kufuatia  mshambuliaji huyo wa Ujerumani kukutana na kocha wa klabu hiyo Roberto Mancini katika uwanja wa mazoezi wa timu hiyo jana jumamosi.

Nyota huyo ameshaaga Arsenal tayari kuanza maisha mapya katika Ligi ya Italia maarufu kwa jina la Seria A.


“Mshindi huyu wa kombe la dunia alikuwepo Centro Sportivo Angelo Moratti leo (jana) kwa lengo la kufahamu uwanja wake mpya wa mazoezi na alikutana na kocha wa Nerazzurri ," taarifa ya Inter Milani kwa vyombo vya habari ilieza

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video