Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi jana
YANGA jana jioni
imefanya mazoezi katika viwanja vya Tanganyika Parkers .
Kocha Mkuu Hans Pluijm alisema wameamua kufanya mazoezi
katika uwanja huo ikiwa ni maandalizi ya kucheza na Polisi Moro katika uwanja
wa jamhuri kwani dimba hilo linafanana na lile la Jamhuri.
Mechi hiyo ya kukata
na shoka itapigwa januari 24 mwaka huu.
Pia Pluijm amesisitiza kwamba anawataka wachezaji wake
waliokwenda kujiunga na Stars maboresho Msuva,Telela, Said Makapu, Hassan Dilunga,Edward
Charles na Niyonzima ambaye yupo na Rwanda anataka warudi haraka ijumaa tayari kuivaa
0 comments:
Post a Comment