Wednesday, January 14, 2015


Alexis Sanchez celebrates after scoring his second goal in Arsenal's 3-0 defeat of Stoke on Sunday 
Alexis Sanchez ndiye bora kwa mujibu wa bosi wa Man City

Manuel Pellegrini ameweka wazi mchezaji ambaye anaamini ni bora zaidi nchini England...na cha kushangaza hajamtaja mshambuliaji wa Manchester City,Sergio Aguero.
Kiukweli, bosi huyo wa City aliweka wazi kuwa mchezaji bora wa EPL ni mkali wa Arsenal, Alexis Sanchez ambaye alifunga na kutoa pasi ya mwisho katika ushindi wa Gunners wa 3-0 dhidi ya Stoke City jumapili iliyopita.
Akizungumza na AS, Mchile huyo mwenye miaka 61 alifafanua sababu inayomfanya aamini kuwa nyota huyo ndiye bora kuwa ni kufunga magoli 12 na kutoa pasi za mwisho 7 tangu asajiliwe kwa paundi milioni 32 kutoka Barcelona majira ya kiangazi mwaka jana. 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video