Saturday, January 10, 2015

Okwi (kushoto) akiwa na Coordinator wa Simba, Salim Swaka muda huu uwanja wa Amaan

MSHAMBULIAJI hatari wa Simba, Mganda Emmanuel Anord Okwi ametua leo mjini Zanzibar kujiunga na kambi ya klabu yake.

Okwi alikuwepo kwenye mechi ya desemba 26 mwaka huu Uwanja wa Taifa Simba ikipigwa 1-0 na Kagera Sugar, lakini aliondoka kwenda kumalizia fungate yake kufautia siku za karibuni kuoa mke.

Hivi tunavyozungumza, Okwi yupo hapa uwanja wa Amaan akiwaangalia wachezaji wenzake wakiipashia Polisi kuelekea mchezo wa nusu fainali ya pili ya kombe la Mapinduzi unaotarajia kuanza majira ya sa 2:15 usiku huu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video