Wednesday, January 14, 2015

Okwi (kulia) akitengeneza ugali Msimbazi

 MSHAMBULIAJI hatari wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi amefurahia kutwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi na kudai kuwa nguvu hiyo wanaipeleka katika mechi za ligi kuu Tanzania bara.

“Kwanza ni jambo la furaha kutwaa ubingwa huu. Nawashukuru sana wachezaji wenzangu”

“ Nimefurahi kurejea katika timu baada ya mapumziko na hatimaye kutwaa ubingwa huu. Tutafanya vizuri ligi kuu, tunawaomba mashabiki watuunge mkono”. Alisema Okwi.

Okwi aliongeza kuwa mbele yake anaona deni kubwa kwa Wanasimba, hivyo anajitahidi kufanya mazoezi ya nguvu ili kurudi katika hali yake.


“Kikubwa nafanya mazoezi kwa kujituma kwa lengo la kufanya vizuri”. Aliongeza Okwi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video