Wednesday, January 28, 2015


Juan Mata has urged Manchester United to step up their bid for a top-four place this season
Juan Mata amewataka Man United kupambana kushika nafasi nne za juu msimu huu

JUAN Mata amedai Manchester United lazima ipambane kuingia nne bora kwasababu inauma kuwaona wapinzani wao wakicheza ligi ya mabingwa msimu huu, huku kikosi hicho cha Louis Van Gaal kikiwa nje.
Mata alijiunga Old Trafford mwaka mmoja uliopita akitokea Chelsea kwa ada ya paundi milioni 37.1, lakini hakuweza kuisaidia timu yake kushika nafasi za juu na ikaambulia nafasi ya saba chini ya kocha David Moyes.
Hii inamaanisha United imekosa ligi ya mabingwa kwa mara ya kwanza katika miaka 19, na safari hii bado kuna hatari ya kukosa nafasi nne za juu baada ya kushinda mechi mbili katika mechi sita za ligi walizocheza siku za karibuni.
Mata (left) admits it is hard to watch United's rivals play in the Champions League this term, as they miss out
Mata ameonya kuwa Kikosi cha Van Gaal lazima kiingia kwa tahadhari katika mechi ya jumamosi dhidi ya timu ya chini katika msimamo ya Leicester City kwenye uwanja wa Old Trafford na wanatakiwa kuingia na mbinu za ushindi ili kukwepa msimu wa majanga kwa mara ya pili.
"Ni vigumu sana kuangalia mpira kwenye TV kila jumanne na jumatatno," amesema kiungo huyo wa Hispania. "Hili liko wazi kichwani mwetu kwamba tunahitaji kurudi ligi ya mabingwa"
"Ni mashindano yanayovutia zaidi duniani - Tunahitaji kurudi tena"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video