"Mkifungwa, mmeonewa, mara mmekabwa koo, visingizio kibao!
Tatizo lenu hamjalijua leo nawaambia kwa upendo kabisa kwani nawapenda, timu yenu mbovu!
Jikiteni katika kuiandaa timu iwe na uwezo, acheni kuonyesha uwezo mdomoni na magazetini, mtaumia!
Bado unabisha kuhusu uwezo wangu!
Mnalo msimu huu!"
0 comments:
Post a Comment