Saturday, January 3, 2015

VINARA wa ligi kuu soka Tanzania bara, Mtibwa Sugar FC leo wametoka sare ya kufungana bao 1-1 na JKU ya Zanzibar katika muendelezo wa michuano ya kombe la Mapinduzi linaloendelea kushika kasi uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mtibwa Sugar walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 20 kupitia kwa mshambuliaji wa zamani wa JKT Ruvu, Simba na DC Motemapembe ya DR Congo, Musa Hassan Mgosi.

Katika dakika ya 53, Mtibwa chini ya kocha Mecky Mexime walipata mkwaju wa penalty baada ya beki wa JKU Hamis Abdallah kuunawa mpira katika eneo la hatari, lakisi Mgosi akapewa  alikosa tuta hilo kufuatia kupiga shuti lililopaa juu ya lango, watoto wa mjini wanaita mnazi.


JKT walisawazisha bao hilo katika dakika ya 72 kupitia kwa Amour Omar.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video