Thursday, January 8, 2015

MWIGIZAJI wa filamu wa kike wa Ghana,  Joselyn Canfor-Dumas na mtangazaji wa TV wa Afrika kusini,  Robert Marawa  wamethibitishwa kuwa washereheshaji  (MC) wa tuzo za mwanasoka bora wa Afrika, Glo-CAF 2014.

Wawili  hao watalivaa jukwaa katika sherehe hizo za 23 za mwanasoka bora wa Afrika zitakazofanyika leo Januari 8 mwaka huu mjini Lagos Nigeria.

Dumas, sura maarufu katika TV barani Afrika, alionekana kwa mara ya kwanza katika TV akiwa ni mtangazaji wa Ghanaian local entertainment show,  iitwayo Rhythmz,  ambayo alikuwa anawahoji watu mbalimbali maarufu.


Marawa ni kwasasa ni mtangazaji wa Super Sport aki-host kipindi cha i083 Sports@6 on Metro FM? mjini Johannesburg. 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video