Wednesday, January 28, 2015

Mikel Arteta
Kiungo mshambuliaji na naodha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye makazi yake katika dimba la Emirates jijini London.

Wakala wa mchezaji huyo Inaki Ibanez ameuambia mtandao wa footmercato kuwa mchezaji huyo hatakuwa huru tena mwezi kwani amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Arsenal msimu ujao.

"Arteta ameamua kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kubaki katika dimba la Emirates kama mchezaji muhimu katika benchi la Arsenal chini ya Kocha Arsene Wenger, hivyo Arteta hatakuwa tena huru mwezi juni bali atakuwa huru kuanzia mwakani,"alisema Ibanez


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video