Nyota kutoka Argentina Leo Messi amefunga magoli matatu kwa mara nyingine akiwa
na Barcelona na hivyo kutimiza michezo thelathini ambayo amefunga bao tatu au
zaidi akiwa na jezi za miamba hiyo
Ikumbukwe kuwa katika ligi ya Hispania (La Liga)
rekodi ya mabao matatu ‘Hat-trick’ inashikiliwa naye nyota kutoka Ureno Cristiano
Ronaldo, mwenye 23.
Hata hivyo kwa mabao hayo Messi sasa amefikisha awamu 22
akilingana na mkongwe Telmo Zarra katika nafasi ya pili. Katika ngazo ya timu
yake ya Taifa Nyota huyo (messi) amefunga mara 2 na hivyo kutimiza jumla ya Hat
trick 32 katika ngazi ya klabu na taifa.
0 comments:
Post a Comment