Friday, January 16, 2015

WAGONGA nyundo wa Mbeya, Mbeya City fc wapo tayari kwa mechi ya kesho ya ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Kagera Sugar itakayopigwa uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Timu zote mbili zitakuwa ugenini ‘neutral ground’ kitendo kilichofurahiwa na Mbeya City fc.


“Tungekuwa Kaitaba kungekuwa na presha kubwa. Ujue uwanja wa Kirumba hauna mwenyeji kesho, wote kama vile tuko ugenini, tutaonesha kandanda safi na kuvuna pointi tatu”. Alisema Afisa habari wa Mbeya City , Dismas Ten alipohojiwa na mtandao huu kutoka Mwanza.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video