Monday, January 19, 2015

ZAMBIA imelazimisha sare ya kufungana goli 1-1 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) katika mechi ya kundi B ya mataiga ya Afrika iliyopigwa kuanzia majira ya saa 1:00 usiku wa jana.
Bao la mapema la Given Singuluma (dakika ya 2') liliwaamsha mashabiki wa Chipolopolo, lakini katika dakika ya 66' kipindi cha pili Yannick Bolasie alisawazisha bao hilo.
Mechi ya pili iliyoanza majira ya saa 4:00 usiku, miamba ya soka kaskazini mwa Afrika, Tunia ilitoka sare ya 1-1 na Cape Verde.
Tunisia walikuwa wa kwanza kuandika bao katika dakika ya 70' kupitia kwa Mohamed Ali Moncer, lakini dakika ya 78' Cape Verde walisawazisha kupitia kwa Heldon aliyefunga kwa mkwaju wa penalti.
Cape Verde, nchi inayotajwa kupata maendeleo makubwa ya soka duniani katika kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita wameonesha ukomavu mkubwa katika mechi hiyo

MATOKEO YA MECHI ZA KUNDI B
Africa Cup of Nations - Group BJanuary 18
FTZambia1 - 1DR Congo
FTTunisia1 - 1Cape Verde
Michuano hiyo itaendelea leo kwa mechi za mbili za kundi C kama inavyoonekana kwenye ratiba chini hapo chini;
Africa Cup of Nations - Group CJanuary 19
19:00Ghana? - ?Senegal
22:00Algeria? - ?South Africa

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video