
MASHETANI Wekundu Manchester United wametoka suluhu pacha (0-0) na timu ndogo ya Cambridge United katika mechi ya kombe la FA iliyomalizika usiku huu.
Katika mechi hiyo,kikosi cha United chenye thamani kubwa chini ya kocha Louis van Gaal kimebanwa kabisa na timu hii ya daraja la pili.
Cambridge ndio timu pekee ya chini zaidi iliyosalia kwenye kombe hili, lakini wanaonesha upinzani mkubwa zaidi.
FT
0 - 0
match details :
26'
65'
69'
Kombe la FA litaendelea leo kwa mechi mbalimbali kupigwa kama ratiba inavyoonesha haoa chini:
15:45
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
20:30
? - ?
0 comments:
Post a Comment