Klabu ya Manchester United imefanikiwa kulipiza kisasi cha kufungwa mabao matano kwa matatu dhidi ya Leicester City baada ya kuivurumisha kwa mabao matatu kwa moja mchezo uliopigwa katika dimba la Old Trafford jijini Manchester.
Magoli ya Manchester United yalifungwa na Mshambuliaji wa klabu hiyo Robbin Van Persie pamoja na Radamel Falcao, lingine akijifunga beki wa Leicester city Wes Morgan wakati goli la kufutia machozi la Leicester likifungwa nae
Marcin Wasilewsk.
Marcin Wasilewsk.
Matokeo mengine ni kama ifuatavyo:
Hull City 0 - 3 Newcastle United
Crystal Palace 0 - 1 Everton
Liverpool 2 - 0 West Ham United
Stoke City 3 - 1 Queens Park Rangers
Sunderland 2 - 0 Burnley
West Bromwich Albio 0 - 3Tottenham Hotspur
Chelsea 1 - 1 Manchester City
0 comments:
Post a Comment