Wednesday, January 14, 2015

ELIUS Maguli, mshambuliaji hatari wa Simba amesema kutwaa makombe mawili akiwa Simba ndani ya muda mfupi ni jambo la furaha kwake.
“Toka nimekuja Simba nimechukua makombe mawili,nNani Mtani Jembe na sasa kombe la Mapinduzi, hili ni jambo zuri mno. Limenipa moyo na lazima nipigane zaidi na zaidi”.


Mshambulizi huyo mwenye nguvu nyingi aliwaomba mashabiki wa Simba kuiunga mkono timu yao kwani wana nafasi ya kufanya vizuri.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video