Mwokozi Sterling akishangilia goli lake
RAHEEM Sterling mtu mbaya sana!. Usiku huu ameharibu mipango ya Jose Mourinho ya kuibuka na ushindi katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la ligi 'Capital One' kufuatia kuisawazishia Liverpool bao.
Chelsea waliandika bao la kwanza dakika ya 18' kwa mkwaju wa penalti kupitia kwa Eden Hazard, lakini dakika ya 59' Sterling akasawazisha goli hilo.
Eden Hazard akipiga mkwaju wa penalti
HAPA CHINI NI VIKOSI VYA TIMU ZOTE NA ALAMA WALIZOPATA KATI YA 10 ZILIZOPANGWA KIVIWANGO;
Kikosi cha Liverpool: Mingolet 6.5; Can 6, Skrtel 7, Sakho 7; Henderson 7, Gerrard 8.5 (Lallana 70), Lucas 7, Moreno 7; Markovic 6.5, Sterling 7, Coutinho 7.5
Subs not used: Ward, Enrique, Lambert, Manquillo, Borini, Rossiter
Goli: Sterling 59
Kadi ya njano: Gerrard, Lucas
Kikosi cha Chelsea: Courtois 8.5; Ivanovic 7, Cahill 6, Terry 7, Luis 6 ; Matic 6.5, Mikel 5.5; Hazard 7, Fabregas 7, Willian 7 (Azpilicueta 87); Costa 6
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Cech, Zouma, Ramires, Oscar, Remy, Drogba
Goli: Hazard 18 (pen)
Kadi ya njano: Luis, Mikel
Mwamuzi: Martin Atkinson
Mashabiki waliohudhuria: 44,573
Nusu fainali nyingine inapigwa leo baina ya Tottenham Hospur watachuana na Shiffield United.
0 comments:
Post a Comment