Ungana nasi kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kupata matokeo ya moja kwa moja ya mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara baina ya Yanga na Ruvu Shootings inayopigwa uwanja wa Taifa, Dar es salaam.
Pia utapata matokeo ya mechi nyingine zinazoendelea viwanja mbalimbali.
Ndanda v Simba uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara, Stand United v Azam fc-Kambarage Shinyanga, Kagera Sugar v Mbeya City-CCM Kirumba Mwanza na Mgambo JKT v Tanzania Prisons-CCM Mkwakwani Tanga
0 comments:
Post a Comment