FT: MANCHESTER CITY 0 : 2 ARSENAL
Dakika 90' zimemalizika bado za nyongeza
Dakika ya 88' bado Arsenal wanaongoza
Dakika ya 85' Arsenal wanaongoza 2-0
Bado dakika 10' mechi kumalizika , Arsenal bado wanaongoza 2-0
Dakika ya 76' Arsenal bado wapo kifua mbele kwa mabao 2-0
Dakika ya 72' Arsenal bado wako mbele kwa mabao 2-0
Dakika ya 68' Arsenal bado wanaongoza kwa mabao 2-0
Dakika ya 66' Olivier Giroud anaifungia Arsenal gola la pili
Dakika ya 61' bado kikosi cha Arsene Wenger kinaongoza 1-0
Dakika ya 56' Bellerin wa Arsenal anaoneshwa kadi ya njano
Dakika ya 54' Fernandinho anaoneshwa kadi ya njano
Dakika ya 52' Arsenal wanaongoza 1-0
Dakika ya 48' bado Arsenal wanatesa na goli 1-0
Dakika ya 46' Arsenal bado wanaongoza 1-0
Kipindi cha pili kimeanza
HT: MAN CITY 0 : 1 ARSENAL
Man City ilibidi wasubiri mpaka dakika ya 36' kupiga shuti la kwanza langoni kwa Arsenal.
Dakika +1 ya nyongeza
Dakika ya 43' Arsenal bado wapo mbele kwa 1-0
Dakika ya 41' Vicent Kompany ameoneshwa kadi ya njano
Dakika 40' zimeshakatika Arsenal bado wanaongoza bao 1-0
Dakika ya 38' Aaron Ramsey anaoneshwa kadi ya njano ikiwa ni ya pili katika mchezo huu
Dakika ya 33' Arsenal wanaongoza, lakini uhakika wa bao kudumu mpaka dakika 45' sio mkubwa,City wanashambulia sana
Dakika 30' zimeshakatika washika bunduki wa London wapo mbele kwa goli 1-0
Dakika ya 28' Arsenal bado wanaongoza kwa goli moja bila
Dakika ya 24' Arsenal wanaandika bao kwa mkwaju wa penalti kupitia kwa Carzola
Dakika ya 23' bado 0-0
Dakika ya 19' OX anachanja mbuga wingi ya kulia na kujaza krosi, lakini kichwa cha Giroud kinashindwa kulenga lango, analalama kweli
Dakika ya 16' ngoma bado nzito, si Man City wala Arsenal iliyoona lango la mpinzani
Dakika ya 13' milango ya timu zote bado ni migumu
Dakika ya 6' bado milango ni migumu
Dakika ya 4' hakuna goli lolote
Dakika ya 3' Laurent Koscienlny ameoneshwa kadi ya njano.
Dakika ya 2' hakuna timu iliyoona lango la mwenzake
Mechi imeshaanza baina ya Man City v Arsenal
MANCHESTER CITY 0 : 1 ARSENAL
VIKOSI VYA TIMU ZOTE
Manchester City: Hart, Zabaleta, Kompany (c), Demichelis, Clichy, Fernandinho, Fernando, Navas, Silva, Milner, Aguero
Subs: Caballero, Mangala, Sagna, Kolarov, Lampard, Jovetic, Dzeko
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker (c), Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Alexis, Giroud
Subs: Szczesny, Gibbs, Chambers, Flamini, Rosicky, Ozil, Walcott
0 comments:
Post a Comment