Thursday, January 22, 2015


Manchester United have moved up to second on the list despite not even being in the Champions League
Manchester United wameshika nafasi ya pili kwa utajiri licha ya kutocheza ligi ya mabingwa

WALIKUWA na msimu mbaya katika ligi ya England, lakini Manchester United imeshika nafasi ya pili katika orodha ya klabu tajiri zaidi duniani.
Licha ya kampeni mbaya chini ya David Moyes aliyechukua mikoba ya Alex Ferguson na kumaliza nafasi ya saba imezidiwa na Real Madrid pekee.
Klabu hiyo ya Old Trafford imewapindua miamba ya Ulaya  Bayern Munich na  Barcelona kufuatia mapato yao kupanda mpaka paundi milioni 433.2 kutoka paundi milioni 363.2.

KLABU 30 TAJIRI DUNIANI

TOP 30 WEALTHIEST FOOTBALL CLUBS BY REVENUE (FOR 2013-14)

1. Real Madrid - £459.5m
2. Manchester United - £433.2m
3. Bayern Munich - £407.7m
4. Barcelona - £405.2m
5. Paris Saint-Germain - £396.5m
6. Manchester City - £346.5m
7. Chelsea - £324.4m
8. Arsenal - £300.5m
9. Liverpool - £255.8m
10. Juventus - £233.6m
11. Borussia Dortmund - £218.7m
12. AC Milan - £208.8m
13. Tottenham - £180.5m
14. Schalke 04 - £178.9m
15. Atletico Madrid - £142.1m 
16. Napoli £137.8m
17. Inter Milan - £137.1m
18. Galatasaray - £135.4m
19. Newcastle United - £129.7m
20. Everton £120.5m
21. West Ham United - £105.3m
22. Aston Villa - £101.9m
23. Marseille - £100m
24. Roma - £97.7m
25. Southampton - £97.3
26. Benfica - £96.6
27. Sunderland - £95.7m
28. Hamburg - £92.2m
29. Swansea City - £90.5m
30. Stoke City - £90.1m 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video