Monday, January 5, 2015


Frank Lampard is tackled by Atdhe Nuhiu of Sheffield Wednesday during the FA Cup third round victory
Frank Lampard akizuiwa na Atdhe Nuhiu wa Sheffield katika mechi ya raundi ya tatu ya kombe la FA

FRANK Lampard  anatarajia kuondoka Manchester City mwishoni mwa msimu huu na kujiunga na klabu yake ya New York City mwezi Julai mwaka huu.
Licha ya kiwango cha juu anachoonesha Lampard chini ya Manuel Pellegrini, kiungo huyo ameweka wazi kuwa anahitaji kupata changamoto ya kucheza ligi ya Marekani (MLS) pale mkataba wake wa mkopo utakapomalizika nchini England.
Kumekuwepo na wasiwasi katika klabu ya New York City na ligi ya MLS kwamba Lampard mwenye miaka 36 anaweza kushawishika kubakia Etihad hata baada ya msimu kumalizika.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video