Monday, January 12, 2015











Ronaldo? 
Messi?  Mpeni mtu huyu tuzo ya Ballon D'Or

Uzuri wa takwimu ni kwamba: ni ngumu kupingana nazo. Maoni yanaweza kuchekwa. Namba haziwezi kuchekwa.
Utasema nini kama tutakwambia  kuwa tuna ushahidi wa kisayansi, kitakwimu unaothibitisha kuwa Peter Crouch ana rekodi nzuri ya ligi kuu England kuliko  Dennis Bergkamp na Cristiano Ronaldo?
Peter Crouch celebrates scoring against Arsenal
Hakuna maana, kweli? Mshambuliaji huyo wa Stoke City hawezi kuwa bora zaidi ya wachezaji wakubwa wawili waliowahi kutokea katika ligi ya England, ni kweli?
Sio kweli. Angalia takwimu hizi hapa:
Magoli ya ligi kuu England
92
Peter Crouch
87
Dennis Bergkamp
85
Fernando Torres
84
Cristiano Ronaldo
 

Pasi za mwisho ligi kuu

53
Peter Crouch
49
Dennis Bergkamp
46
Cristiano Ronaldo
45
Paul Scholes
 
Vitu vya kijinga. Lakini majedwali haya ni moja ya sababu nyingi kuwa Crouchie angekuwepo katika kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa dunia, Ballon D'Or wiki hii.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video