Saturday, January 24, 2015

AFISA habari wa Ruvu Shootings mwenye maneno mengi kama njugu, Masau Bwire amehudhuria mechi ya Polisi Morogoro dhidi ya Yanga inayochezwa jioni ya leo uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.


Akiwa mjini humo Masau ameandika katika kundi maarufu la ‘Kijiwe cha soka’  lilipo katika mtandao wa kijamii wa facebook akisema: “Nipo Moro. Kwa namna hali ilivyo, nitakuwepo uwanjani lakini haitakuwa
rahisi ninyi kuniona. Kwa uchunguzi nilioufanya nikiwa hapa Moro, Yanga
wana asilimia kubwa sana kushinda mechi ya leo!

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video