Friday, January 9, 2015

 Kocha mkuu wa Simba SC, Goran Kapunovic akimuelekeza kiungo Said Hamis Ndemla namna ya kupiga mipira ya krosi katika mazoezi yaliyofanyika jioni ya leo uwanja wa Amaan Zanzibar. Simba kesho wanashuka dimbani usiku kupepetana na Polisi Zanzibar katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi.
Mechi nyingine ya nusu fainali itawakutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya JKU ya Zanzibar.
Kiungo wa Simba, Abdallah Seseme akitenga mpira eneo la kisanduku cha penalti tayari kwa kupiga mkwaju huo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video