MASHETANI Wekundu, Manchester United leo jioni wanaikabili Queens Park Rangers ugenini katika mechi ya ligi kuu soka nchini England, EPL.
Liverpool nao wapo ugenini kuchuana na Aston Villa, wakati Chelsea pia wapo ugenini kupepetana na Sweansea City.
RATIBA TA MECHI ZA LEO EPL HII HAPA
England - Premier League | |||
---|---|---|---|
18:00 | ? - ? | ||
18:00 | ? - ? | ||
18:00 | ? - ? | ||
18:00 | ? - ? | ||
18:00 | ? - ? | ||
18:00 | ? - ? | ||
20:30 | ? - ? |
Ligi hiyo pendwa zaidi duniani inatarajia kuendelea kesho januari 18 ambapo mechi ya mjini ni baina ya Manchester City na Arsenal katika dimba la Etihad
RATIBA YA KESHO
England - Premier LeagueJanuary 18 | |||
---|---|---|---|
16:30 | ? - ? | ||
19:00 | ? - ? |
0 comments:
Post a Comment