FRANK DOMAYO 'CHUMVI' ANAANZA MECHI YA KWANZA VPL AKIWA NA AZAM FC
Azam FC leo inashuka katika dimba la uwanja wa C.C.M Kambarage hapa mjini Shinyanga kupambana na Stand United. Mechi itaanza majira ya saa 10:30 za jioni na itaonyeshwa na Azamtv kama kawaida. Kikosi cha leo ni hiki hapa;
1. AISHI MANULA
2. SHOMARI KAPOMBE
3. GADIEL MICHAEL
4. AGGREY MORIS
5. PASCAL WAWA
6. ERASTO NYONI
7. MUDATHIR YAHYA
8. FRANK DOMAYO
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. KIPRE TCHETCHE
11. BRIAN MAJWEGA
AKIBA
1. MWADINI ALI
2. DAVID MWANTIKA
3. WAZIRI SALUM
4. HIMIDI MAO
5. GAUDENCE MWAIKIMBA
6. BOLOU MICHAEL
7. FARID MUSSA
0 comments:
Post a Comment