Friday, January 30, 2015


Juan Cuadrado, pictured celebrating after scoring for Fiorentina earlier this month, is poised to join Chelsea 
Juan Cuadrado aliyepigwa picha akishangilia baada ya kuifungia Fiorentina mapema mwezi huu yuko mbioni kutua Chelsea 

NYOTA wa kombe la dunia wa Colombia, Juan Cuadrado yuko mbioni kusajiliwa na Chelsea kwa dau la paundi milioni 26.8 na tayari Jose Mourinho anataka kulazimisha dili hilo kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa jumatatu. 
Kulikuwa na ripoti nyingi kutoka Chelsea, lakini winga huyo wa Colombia anatua darajani wakati huu Andre Schurrle amejiunga na timu ya Ujerumani ya Wolfsburg kwa ada inayokaribia paundi milioni 30.
Mourinho alitumaini kumsajili Cuadrado kabla ya mechi ya kesho ya ligi kuu dhidi ya Manchester City katika uwanja wa Stamford Bridge, lakini mazungumzo ya  Schurrle yamekwamisha mpango.
Andre Schurrle appears to have played his last game for Chelsea after they agreed to cash in on the forward
Andre Schurrle anasepa Chelsea

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video