Monday, January 26, 2015




Sam Allardyce

Kocha wa klabu ya west ham united Sam Allardyce anajaribu kukamilisha diri la kumsajili kiungo mkabaji wa Manchester united Darren Fletcher kabla ya kumalizika kwa dirisha dogo la usajili mwezi January.
Darren Fletcher
 
Allardyce amesema bado anaweza kumsajili kiungo huyo mwenye miaka 30 licha ya kanuni za klabu zinazosema klabu hiyo inatakiwa kumsajili mchezaji mwenye umri wa miaka 27 kushuka chini, lakini bado kocha huyo anampango wa kumsajili mchezaji huyo na kumpa mkataba wa miaka miwili na nusu.

Fletcher amekuwa akiuguza majeraha kwa mda mrefu akiwa katika dimba la old Trafford, kitu ambacho kinawatia mashaka wengi katika klabu ya west ham, ambapo mshambuliaji Andy Carroll naye amekuwa akisumbuliwa na majeraha tangu ajiunge na klabu hiyo akitokea katika klabu ya Liverpool.

mpaka sasa mchezaji huyo amefanikiwa kurudi katika kikosi cha kwanza cha Manchester united lakini ameweza kucheza dakika 90 mara mbili tu katika mechi za ligi kuu soka nchini uingereza chini ya kocha Louis van Gaal msimu huu.

West Bromich nayo inampango wa kumsajili kiungo huyo,huku klabu nyingine inayoshiriki ligi kuu nchini uhispania Valencia wakiwa makini kuinasa saini ya mchezaji huyo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video