Monday, January 5, 2015

Ex-Super Eagles captain, Jay Jay Okocha thinks that Ivorian international Yaya Toure is the only deserving for the 2014 CAF Footballer of the year award; describing him as a natural talent.
NAHODHA wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, Jay Jay Okocha haamini kama golikipa wa timu ya taifa ya nchi yake, Vicent Enyeama au mchezaji mwingine aliyetajwa anaweza kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika 2014 isipokuwa Yaya Toure.

“Kwa mimi, Yaya Toure ndiye mshindi asilia. Nadhani orodha ya wanaowania tuzo inaonesha kuwa kwa miaka mitatu iliyopita, soka la Afrika halijazalisha nyota wengi kwasababu wachezaji wawili au watatu wameendelea kuwepo kwa miaka mitano mpaka sita: Yaya Toure, Samuel Eto’o na Didier Drogba.

“Kwasasa Eto’o na Drogba wametoka na inaonekana Yaya Toure ana nafasi kubwa ya kuendelea kuwepo. Baada ya yeye, sidhani kama tunazalisha wachezaji nyota Afrika”


Hata hivyo,  Okocha ambaye aliwahi kung’ara katika soka la Afrika hadhani kama nyota huyo wa kimataifa wa Ivory Coast na timu yake ya Manchester City wanaweza kutetea ubingwa wa EPL walioshinda mwaka jana.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video