Thursday, January 29, 2015

ad
John Bocco maarufu kama Adebayor alizaliwa mwaka 1989, alianza kucheza soka katika timu ya Kijitonyama FC, mwaka 2007 alijiunga na Azam FC na kuisaidia timu hiyo kupanda daraja. John Bocco ni miongoni mwa wachezaji wanne ambao walifanikiwa kupanda Ligi Kuu ya Vodacom mwaka 2008 wakiwa na Azam FC, mwingine ni Sure Boy. Msimu wa 2011/2012 alifunga mabao 19 na kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara akivunja rekodi ya Bonifacee Ambani wa Yanga aliyefunga mabao 18 msimu wa 2009/2010. Ni mmoja wa wachezaji tegemezi katika timu ya Azam na anajua sana kukaa nafasi nzuri ili aweze kufunga.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video