Harry Kane
Klabu ya Tottenham Hotspurs imempa ofa mpya mshambuliaji wake
machachari mwenye umri wa miaka 21 Harry Kane ya mshahara wa Pauni 45m kwa
wiki.
Ofa hiyo itamfanya mshambuliaji huyo kusaini mkataba mpya
utakaomweka katika dimba la White Hartlane hadi mwaka 2020 baada ya kufanya
vizuri katika mitanange ya ligi kuu nchini Uingereza msimu huu.
0 comments:
Post a Comment