Tuesday, January 6, 2015

.
Mzee wa fegi, Wojciech Szczesny 

GOLIKIPA wa Arsenal, Wojciech Szczesny ametozwa faini ya paundi laki mbili kwa kosa la kuvuta sigara bafuni baada ya mechi.
Bosi wa kipa huyo mwenye miaka 24, Arsene Wenger aligeuka 'mbogo' alipomkuta akipiga fegi baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Southampton siku ya mwaka mpya.

Szczesny alilazimika kuomba msamaha kwa tabia hiyo, lakini haijulikani kama ataondolewa katika kikosi cha wiki hii kitakachoikabili Stoke kwenye mechi ya ligi kuu England. 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video