Wednesday, January 7, 2015


Radamel Falcao wants to remain at Manchester United beyond his loan spell at the end of the season
Radamel Falcao anataka kubakika Manchester United 

HATIMA ya Radamel Falcao kubakia Old Trafford itaamuriwa mwezi Aprili, lakini mshambuliaji huyo ameonesha kutamani kukaa England.
Mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa mkopo msimu uliopita kutokea Monaco amekumbana na maisha magumu nchini England-akifunga magoli matatu tu katika mechi 12 za ligi alizocheza-lakini amejijengea mazingira mazuri kwa Louis van Gaal baada ya kufanya vizuri wiki mbili za karibuni.
Kwa sasa Klabu imepata nguvu kuliko awali ya kumpa mkataba wa kudumu Mcolombia huyo anayelipwa paundi laki mbili elfu sitini na tano kwa wiki.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video