UWANJA wa Etihad jijini Manchester leo unazizima kwa dakika 90 ambapo wanaume wawili, wenyeji Manchester City wanapepetana vikali na washika bunduki wa London, Arsenal, katika mechi ya ligi kuu England, EPL itakayoanza majira ya saa 1:00 usiku.
Mechi nyingine ya mapema majira ya saa 10:30 jioni
itawakutanisha West Ham United na Hull City.
RATIBA YA LEO EPL HII HAPA
England - Premier League | |||
---|---|---|---|
16:30 | ? - ? | ||
19:00 | ? - ? |
0 comments:
Post a Comment