Sturridge (kulia) alifanya mazoezi jana na anaweza kuichezea Liverpool kesho baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeruhi
CHELSEA inaikaribisha Manchester City kwenye uwanja wa Stamford Bridge kesho kuwania pointi tatu muhimu katika mechi ya ligi kuu England.
Mashetani wekundu, Manchester United nao watakuwa nyumbani Old Trafford Leicester City, wakati huo huo Liverpool watakuwa nyumbani Anfield kuchuana na West Ham.
RATIBA NZIMA YA MECHI ZA KESHO EPL HII HAPA
January 31
15:45
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
18:00
? - ?
20:30
? - ?
0 comments:
Post a Comment